Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

2 Wathesalonike 1:8-9 - Linganisha Matoleo Yote

2 Wathesalonike 1:8-9 BHN (Biblia Habari Njema)

na miali ya moto, kuwaadhibu wale wanaomkataa Mungu na wale wasiotii Habari Njema ya Bwana wetu Yesu. Adhabu yao itakuwa kuangamizwa milele na kutengwa mbali na utukufu wake mkuu

2 Wathesalonike 1:8-9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

katika mwali wa moto; huku akiwalipiza kisasi wao wasiomjua Mungu, na wao wasioitii Injili ya Bwana wetu Yesu; watakaoadhibiwa kwa maangamizi ya milele, kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa nguvu zake

2 Wathesalonike 1:8-9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

katika muali wa moto; huku akiwalipiza kisasi wao wasiomjua Mungu, na wao wasioitii Injili ya Bwana wetu Yesu; watakaoadhibiwa kwa maangamizi ya milele, kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa nguvu zake

2 Wathesalonike 1:8-9 NEN (Neno)

Atawaadhibu wale wasiomjua Mungu na ambao hawakuitii Injili ya Bwana wetu Yesu. Wataadhibiwa kwa uangamivu wa milele na kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa uweza wake