Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

2 Wathesalonike 1:10 - Linganisha Matoleo Yote

2 Wathesalonike 1:10 BHN (Biblia Habari Njema)

wakati atakapokuja siku ile kupokea utukufu kutoka kwa watu wake na heshima kutoka kwa wote wanaoamini. Nyinyi pia mtakuwa miongoni mwao, kwani mmeuamini ule ujumbe tuliowaletea.

2 Wathesalonike 1:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

yeye atakapokuja ili kutukuzwa katika watakatifu wake, na kustaajabiwa katika wote waliosadiki katika siku ile, (kwa sababu ushuhuda wetu ulisadikiwa kwenu).

2 Wathesalonike 1:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)

yeye atakapokuja ili kutukuzwa katika watakatifu wake, na kustaajabiwa katika wote waliosadiki katika siku ile, (kwa sababu ushuhuda wetu ulisadikiwa kwenu).

2 Wathesalonike 1:10 NEN (Neno)

siku hiyo atakapokuja kutukuzwa katika watakatifu wake na kustaajabiwa miongoni mwa wote walioamini. Ninyi pia mtakuwa miongoni mwa hawa kwa sababu mliamini ushuhuda wetu kwenu.