2 Samueli 3:2 - Linganisha Matoleo Yote
2 Samueli 3:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Watoto wa kiume aliozaliwa Daudi huko Hebroni walikuwa: Amnoni, mzaliwa wake wa kwanza, mama yake alikuwa Ahinoamu kutoka Yezreeli
2 Samueli 3:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Daudi akazaliwa wana huko Hebroni; mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Amnoni, wa Ahinoamu wa Yezreeli
2 Samueli 3:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Naye Daudi akazaliwa wana huko Hebroni; mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Amnoni, wa Ahinoamu wa Yezreeli
2 Samueli 3:2 NEN (Neno)
Wana walizaliwa kwa Daudi huko Hebroni: Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Amnoni mwana wa Ahinoamu wa Yezreeli