2 Samueli 2:2 - Linganisha Matoleo Yote
2 Samueli 2:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Hivyo, Daudi alikwenda Hebroni, pamoja na wake zake wawili, Ahinoamu wa Yezreeli, na Abigaili, mjane wa Nabali, kutoka mji wa Karmeli.
Shirikisha
2 Samueli 2 BHN2 Samueli 2:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akapanda aende huko, pamoja na wakeze wawili, Ahinoamu wa Yezreeli, na Abigaili, mkewe Nabali, wa Karmeli.
Shirikisha
2 Samueli 2 SUV2 Samueli 2:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akapanda aende huko, pamoja na wakeze wawili, Ahinoamu wa Yezreeli, na Abigaili, mkewe Nabali, wa Karmeli.
Shirikisha
2 Samueli 2 SRUV2 Samueli 2:2 NEN (Neno)
Basi Daudi akakwea kwenda huko pamoja na wake zake wawili, Ahinoamu wa Yezreeli na Abigaili, mjane wa Nabali wa Karmeli.
Shirikisha
2 Samueli 2 NEN