Ee Yawe, ee Mungu wangu, wewe unayevunja waadui zangu wote mataya, unayeponda waovu meno, simama sasa uniokoe!
Linganisha Matoleo Yote: Zaburi 3:8
8 Siku
Je, unahisi kama huna nguvu ya kutosha kwa kuishi maisha yako vizuri? Je, unapambana na mambo mengi yanayokuchosha na kutukatisha tamaa? Nguvu halisi inatoka kwa Mungu pekee. Kama unatafuta nguvu siku hizi, ujiunge na somo hili la wanawake linalotumia zaburi za kwanza za Daudi kukusaidia kupata nguvu kupitia kwa Mungu. Elizabeth Calmes, mwalimu wa Biblia katika Afrika Mashariki kwa miaka 30, atakuongoza katika safari hii ya siku nane. Karibu sana. Ukitaka kupata masomo mengine kutoka Kujua Ministries, tumia kiungu cha tovuti yetu www.kujuaministries.com
Siku 31
Soma Biblia Kila Siku Januari 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu
Hifadhi mistari, soma bila mtandao, tazama klipu za mafunzo, na zaidi!