1
Matendo 19:6
Neno
NEN
Paulo alipoweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akawashukia, nao wakanena kwa lugha mpya na kutabiri.
Compară
Explorează Matendo 19:6
2
Matendo 19:11-12
Mungu akafanya miujiza mingi isiyo ya kawaida kupitia kwa Paulo, hivi kwamba leso au vitambaa vilivyokuwa vimegusa mwili wa Paulo viliwekwa juu ya wagonjwa, nao wakapona magonjwa yao, na pepo wachafu wakawatoka.
Explorează Matendo 19:11-12
3
Matendo 19:15
Siku moja pepo mchafu akawajibu, “Yesu namjua na Paulo pia namjua, lakini ninyi ni nani?”
Explorează Matendo 19:15