Logo YouVersion
BibliaPlanyNagrania wideo
Pobierz aplikację
Wybór języka
Ikona wyszukiwania

Popularne wersety biblijne z Yohana 2

1

Yohana 2:11

Neno

NEN

Huu ndio muujiza wa kwanza wa Yesu; aliufanya huko Kana ya Galilaya. Hivyo Yesu alidhihirisha utukufu wake, nao wanafunzi wake wakamwamini.

Porównaj

Przeglądaj Yohana 2:11

2

Yohana 2:4

Neno

NEN

Yesu akamwambia, “Mama, kwa nini unanihusisha? Saa yangu haijawadia.”

Porównaj

Przeglądaj Yohana 2:4

3

Yohana 2:7-8

Neno

NEN

Yesu akawaambia wale watumishi, “Ijazeni hiyo mitungi maji.” Nao wakaijaza ile mitungi hadi juu. Kisha akawaambia, “Sasa choteni hayo maji kidogo; mpelekeeni mkuu wa sherehe.” Hivyo wakachota, wakampelekea.

Porównaj

Przeglądaj Yohana 2:7-8

4

Yohana 2:19

Neno

NEN

Yesu akawajibu, “Libomoeni hili Hekalu, nami nitalijenga tena kwa siku tatu!”

Porównaj

Przeglądaj Yohana 2:19

5

Yohana 2:15-16

Neno

NEN

Akatengeneza mjeledi kutokana na kamba, akawafukuza wote kutoka ua la Hekalu, pamoja na kondoo na ngʼombe. Akazipindua meza za wale wabadili fedha na kuzimwaga fedha zao. Akawaambia wale waliokuwa wakiuza njiwa, “Waondoeni hapa! Mnathubutuje kuifanya nyumba ya Baba yangu kuwa mahali pa biashara?”

Porównaj

Przeglądaj Yohana 2:15-16

Bezpłatne plany czytania i rozważania na temat: Yohana 2

Poprzedni rozdział
Następny rozdział
YouVersion

Zachęcanie i wzywanie cię do codziennego szukania bliskości z Bogiem.

Misja

O YouVersion

Praca

Wolontariat

Blog

Prasa

Przydatne linki

Pomoc

Wesprzyj

Przekłady Biblii

Biblie audio

Języki Biblii

Werset dnia


Cyfrowa misja

Life.Church
Polski

©2026 Life.Church / YouVersion

Polityka prywatnościRegulamin
Program ujawniania luk w zabezpieczeniach
FacebookTwitterInstagramYoutubePinterest