1
Mattayo MT. 19:26
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Yesu akawatazama, akawaambia, Kwa wana Adamu hili haliwezekani; bali kwa Mungu yote yawezekana.
Спореди
Истражи Mattayo MT. 19:26
2
Mattayo MT. 19:6
Hatta wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Bassi alivyoviunganisha, Mungu, mwana Adamu asivitenganishe.
Истражи Mattayo MT. 19:6
3
Mattayo MT. 19:4-5
Akajihu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke, akasema. Kwa sababu hii, mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe; na hawo wawili watakuwa mwili mmoja?
Истражи Mattayo MT. 19:4-5
4
Mattayo MT. 19:14
Lakini Yesu akasema, Waacheni vitoto, wala msiwakataze kuja kwangu; kwa maana walio mfano wa hawo, ufalme wa mbinguni ni wao.
Истражи Mattayo MT. 19:14
5
Mattayo MT. 19:30
Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho, wa kwanza.
Истражи Mattayo MT. 19:30
6
Mattayo MT. 19:29
Na killa mtu aliyeacha nyumba, au ndugu waume, au ndugu wake, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea marra mia, na kurithi uzima wa milele.
Истражи Mattayo MT. 19:29
7
Mattayo MT. 19:21
Yesu akamwambia, Ukitaka kuwa mkamilifu, enenda ukauze mali zako, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kiisha njoo unifuate.
Истражи Mattayo MT. 19:21
8
Mattayo MT. 19:17
Akamwambia, Ya nini kuniita mwema? Hakuna mwema illa mmoja, ndiye Mungu. Lakini ukitaka kuingia katika nzima, zishike amri.
Истражи Mattayo MT. 19:17
9
Mattayo MT. 19:24
Nawaambieni tena, Ni rakhisi ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.
Истражи Mattayo MT. 19:24
10
Mattayo MT. 19:9
Nami nawaambia ninyi, Killa mtu atakaemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya asharati, akaoa mwingine, azini; nae amwoae yule aliyeachwa azini.
Истражи Mattayo MT. 19:9
11
Mattayo MT. 19:23
Yesu akawaambia wanafunzi wake, Amin, nawaambieni, ya kwamba itakuwa shidda tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni.
Истражи Mattayo MT. 19:23
Дома
Библија
Планови
Видеа