1
Mwanzo 37:5
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
SCLDC10
Usiku mmoja, Yosefu aliota ndoto, lakini alipowasimulia ndugu zake, wao wakazidi kumchukia.
比較
Mwanzo 37:5で検索
2
Mwanzo 37:3
Israeli alimpenda Yosefu kuliko watoto wake wote kwa sababu alikuwa amezaliwa wakati wa uzee wake. Alimshonea Yosefu kanzu ndefu.
Mwanzo 37:3で検索
3
Mwanzo 37:4
Lakini ndugu zake walipoona kwamba baba yao alimpenda Yosefu kuliko wao, wakamchukia hata hawakuzungumza naye kwa amani.
Mwanzo 37:4で検索
4
Mwanzo 37:9
Kisha Yosefu akaota ndoto nyingine, akawasimulia ndugu zake akisema, “Sikilizeni, nimeota ndoto nyingine; nimeona jua, mwezi na nyota kumi na moja vinaniinamia.”
Mwanzo 37:9で検索
5
Mwanzo 37:11
Ndugu zake wakamwonea wivu, lakini baba yake akawa analifikiria jambo hilo.
Mwanzo 37:11で検索
6
Mwanzo 37:6-7
Aliwaambia, “Sikilizeni ndoto niliyoota: Niliota kuwa sote tulikuwa shambani tukifunga miganda na ghafla mganda wangu ukainuka na kusimama wima. Miganda yenu ikakusanyika kuuzunguka na kuuinamia mganda wangu.”
Mwanzo 37:6-7で検索
7
Mwanzo 37:20
Haya, tumuue na kumtupa ndani ya shimo mojawapo. Baadaye tutasema kwamba ameuawa na mnyama wa porini. Halafu tutaona hizo ndoto zake zitakuwaje.”
Mwanzo 37:20で検索
8
Mwanzo 37:28
Wafanyabiashara Wamidiani walipofika mahali hapo, hao ndugu wakamtoa Yosefu katika shimo, wakamwuza kwa Waishmaeli kwa bei ya vipande ishirini vya fedha; nao wakamchukua Yosefu hadi Misri.
Mwanzo 37:28で検索
9
Mwanzo 37:19
Waliambiana, “Tazameni! Yule mwota ndoto anakuja.
Mwanzo 37:19で検索
10
Mwanzo 37:18
Ndugu zake walipomwona akiwa mbali na kabla hajafika karibu, wakafanya mpango wa kumuua.
Mwanzo 37:18で検索
11
Mwanzo 37:22
Msimwage damu. Ila mtumbukizeni katika shimo hili hapa mbugani, lakini msimdhuru.” Alisema hivyo kusudi aweze kumwokoa Yosefu mikononi mwao, na baadaye amrudishe kwa baba yake.
Mwanzo 37:22で検索