INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA SABAMuestra

PETRO AMKIRI YESU
8:27 AAkatoka Yesu na wanafunzi wake wakaenda kwenye vijiji vya Kaisaria Filipi, na njiani akawaulizawanafunzi wake, akasema, ‘’watu huninena mimi kuwa ni nani?’’
8:28 Wakamjibu, ‘’Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Mmojawapo wa manabii’’
8:29 Naye akawauliza, na ninyi mnasema ya kuwa mimi ni nani? Petro akamjibu, akamwambia, wewe ndiwe Kristo.
8:30 Akawaonya wasimwambie mtu habari zake.
Escritura
Acerca de este Plan

Mfuatano huu ni kusanyiko la hadithi kuhusu maisha Kristo itakayoshirikisha watazamaji wote ulimwenguni kwa kutumia mchanganyiko wa kuona na sauti. Maisha na mafundisho ya Yesu yalidhihirishwa katika kitabu hiki cha hadithi ambacho kinafuata masimulizi ya Agano Jipya yanayopatikana katika vitabu vya Injili vya Mathayo, Marko, Luka, na Yohana
More