YouVersion-Logo
BibelLesepläneVideos
Hol dir die App!
Sprachauswahl
Suchsymbol

Beliebte Verse in Mwanzo 28

1

Mwanzo 28:15

Neno

NEN

Niko pamoja nawe, nami nitakulinda popote utakapoenda, na nitakurudisha katika nchi hii. Sitakuacha hadi nitakapofanya hayo niliyokuahidi.”

Vergleichen

Studiere Mwanzo 28:15

2

Mwanzo 28:13

Neno

NEN

Juu yake alisimama BWANA, akasema, “Mimi ni BWANA, Mungu wa baba yako Abrahamu, na Mungu wa Isaka. Nchi ambayo umelala juu yake, nitakupa wewe na uzao wako.

Vergleichen

Studiere Mwanzo 28:13

3

Mwanzo 28:16

Neno

NEN

Yakobo alipoamka kutoka usingizi, akawaza, “Hakika BWANA yuko mahali hapa, wala mimi sikujua.”

Vergleichen

Studiere Mwanzo 28:16

4

Mwanzo 28:20-22

Neno

NEN

Kisha Yakobo akaweka nadhiri, akisema, “Mungu akiwa pamoja nami na kunilinda katika safari hii, akinipa chakula nile na nguo nivae, na nirudi salama nyumbani mwa baba yangu, hapo ndipo BWANA atakuwa Mungu wangu. Nalo jiwe hili nililolisimamisha kama nguzo litakuwa nyumba ya Mungu, na katika yote utakayonipa nitakutolea sehemu ya kumi.”

Vergleichen

Studiere Mwanzo 28:20-22

5

Mwanzo 28:14

Neno

NEN

Uzao wako utakuwa kama mavumbi ya nchi, nawe utaenea upande wa magharibi na mashariki, kaskazini na kusini. Kupitia wewe na uzao wako, mataifa yote ya duniani yatabarikiwa.

Vergleichen

Studiere Mwanzo 28:14

6

Mwanzo 28:19

Neno

NEN

Mahali pale akapaita Betheli, ingawa mji ule hapo awali uliitwa Luzu.

Vergleichen

Studiere Mwanzo 28:19

Kostenlose Lesepläne und Andachten zum Thema Mwanzo 28

Vorheriges Kapitel
Nächstes Kapitel
YouVersion

Die App ermutigt und fordert dich heraus, jeden Tag die Gemeinschaft mit Gott zu suchen.

Dienst

Über

Jobangebote

Ehrenamtlich helfen

Blog

Presse

Nützliche Links

Hilfe

Spenden

Bibelübersetzungen

Hörbibeln

Bibelsprachen

Vers des Tages


Ein digitaler Dienst von

Life.Church
Deutsch (Deutschland)

©2026 Life.Church / YouVersion

DatenschutzrichtlinieAGB
Verfahren zur Offenlegung von Sicherheitslücken (VDP)
FacebookTwitterInstagramYouTubePinterest