Mwanzo 48:15-16
Mwanzo 48:15-16 NEN
Ndipo akambariki Yusufu akisema, “Mungu ambaye baba zangu Abrahamu na Isaka walimtii, Mungu ambaye amekuwa mchungaji wa maisha yangu yote hadi leo, Malaika ambaye aliniokoa kutoka madhara yote, yeye na awabariki vijana hawa. Na waitwe kwa jina langu na kwa majina ya baba zangu Abrahamu na Isaka, wao na waongezeke kwa wingi katika dunia.”


