Matendo 28:26-27

Matendo 28:26-27 TKU

‘Nenda kwa watu hawa na uwaambie: Mtasikiliza na kusikiliza, lakini hamtaelewa. Mtatazama na kutazama, lakini hakika hamtaona. Watu hawa hawawezi kuelewa. Masikio yao yamezibwa. Na macho yao yamefumbwa. Hivyo hawawezi kuona kwa macho yao, au kusikia kwa masikio yao; au kuelewa kwa akili zao; au kuelewa kwa akili zao. Ikiwa wangeelewa, wangeweza kunirudia, na ningewaponya.’