Matendo 19:11-12

Matendo 19:11-12 TKU

Mungu alimtumia Paulo kufanya miujiza ya kipekee. Baadhi ya watu walichukua vitambaa vya mkononi na nguo zilizovaliwa na Paulo na kuziweka juu ya wagonjwa. Wagonjwa waliponywa na pepo wabaya waliwatoka watu.