1
Mwanzo 44:34
Biblia Habari Njema
BHN
Nitawezaje kumrudia baba yangu bila kijana huyu? Siwezi kustahimili kuyaona madhara yatakayompata baba yangu.”
Compara
Explorar Mwanzo 44:34
2
Mwanzo 44:1
Kisha Yosefu alimwagiza msimamizi wa nyumba yake akisema, “Yajaze magunia ya watu hawa nafaka kiasi watakachoweza kuchukua. Halafu, weka fedha ya kila mmoja wao mdomoni mwa gunia lake.
Explorar Mwanzo 44:1