1
Mwanzo 40:8
Biblia Habari Njema
BHN
Wakamjibu, “Tuna huzuni kwa kuwa tumeota ndoto na hakuna awezaye kututafsiria ndoto zetu.” Yosefu akawaambia, “Je, kutafsiri ndoto si kazi ya Mungu? Basi, niambieni ndoto zenu.”
Compara
Explorar Mwanzo 40:8
2
Mwanzo 40:23
Hata hivyo, yule mtunza vinywaji mkuu akamsahau Yosefu, badala ya kumkumbuka.
Explorar Mwanzo 40:23