1
Warumi 7:25
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
TKU
Namshukuru Mungu kwa wokovu wake kwa njia ya Yesu Kristo Bwana wetu! Hivyo katika ufahamu wangu mimi ni mtumwa wa sheria ya Mungu, lakini katika udhaifu wangu wa kibinadamu mimi ni mtumwa wa sheria ya dhambi.
Compara
Explorar Warumi 7:25
2
Warumi 7:18
Ndiyo, ninajua kuwa hakuna kitu chema kinachoishi ndani yangu, nina maana kuwa hakuna kitu chema kinachoishi ndani yangu kisichokuwa cha rohoni.
Explorar Warumi 7:18
3
Warumi 7:19
Sitendi mema ninayotaka nitende. Ninatenda maovu nisiyotaka kutenda.
Explorar Warumi 7:19
4
Warumi 7:20
Hivyo ikiwa ninatenda yale nisiyotaka kutenda, hakika si mimi ninayeyatenda hayo. Bali dhambi inayoishi ndani yangu ndiyo inayotenda.
Explorar Warumi 7:20
5
Warumi 7:21-22
Hivyo nimejifunza hivi kuhusu sheria: Ninapotaka kutenda mema ambayo sheria inaamrisha, uovu unakuwa hapo hapo pamoja nami. Moyoni mwangu nafurahi kuifuata sheria ya Mungu.
Explorar Warumi 7:21-22
6
Warumi 7:16
Na ikiwa ninatenda kile nisichotaka kutenda, inamaanisha kuwa ninakubali kuwa sheria ni njema.
Explorar Warumi 7:16