1
Matendo 27:25
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
TKU
Hivyo ndugu, msihofu kitu chochote. Ninamwamini Mungu, na nina uhakika kila kitu kitatokea kama malaika wake alivyoniambia.
Compara
Explorar Matendo 27:25
2
Matendo 27:23-24
Usiku uliopita malaika kutoka kwa Mungu ninayemwabudu na ambaye mimi ni wake. Aliniambia, ‘Paulo, usiogope! Ni lazima utasimama mbele ya Kaisari. Mungu amekupa ahadi hii: Ataokoa maisha ya wote wanaosafiri pamoja nawe.’
Explorar Matendo 27:23-24
3
Matendo 27:22
Lakini sasa ninawaambia iweni na furaha. Hakuna hata mmoja wenu atakayekufa, lakini meli itapotea.
Explorar Matendo 27:22