1
Matendo 10:34-35
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
TKU
Petro akaanza kwa kusema: “Hakika sasa ninaelewa ni kwa nini Mungu hawachukulii kundi fulani la watu kuwa bora kuliko wengine. Anamkubali yeyote anayemwabudu na anayetenda haki. Haijalishi wanatoka katika taifa lipi.
Compara
Explorar Matendo 10:34-35
2
Matendo 10:43
Na ya kwamba kila atakayemwamini Yesu, atasamehewa dhambi zake kupitia nguvu jina Lake. Manabii wote wanakubali kuwa jambo hili ni la kweli.”
Explorar Matendo 10:43