Лагатып YouVersion
БібліяПланы чытанняВідэа
Атрымаць прыкладанне
Выбар мовы
Значок пошуку

Папулярныя біблейскія вершы з Mwanzo 24

1

Mwanzo 24:12

Neno

NEN

Kisha akaomba, “Ee BWANA, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nipatie ushindi leo, uoneshe ukarimu kwa bwana wangu Abrahamu.

Параўнаць

Даследуйце Mwanzo 24:12

2

Mwanzo 24:14

Neno

NEN

Basi na iwe hivi, nitakapomwambia binti mmoja, ‘Tafadhali tua mtungi wako nipate kunywa maji’; naye akisema, ‘Kunywa, nitawanywesha na ngamia wako pia’: basi na awe ndiye uliyemchagulia mtumishi wako Isaka. Kwa hili nitajua umemtendea bwana wangu ukarimu.”

Параўнаць

Даследуйце Mwanzo 24:14

3

Mwanzo 24:67

Neno

NEN

Isaka akamwingiza Rebeka katika hema la Sara mama yake. Isaka akamchukua Rebeka, hivyo akawa mke wake. Isaka akampenda; akafarijika baada ya kifo cha mama yake.

Параўнаць

Даследуйце Mwanzo 24:67

4

Mwanzo 24:60

Neno

NEN

Wakambariki Rebeka, wakamwambia, “Ndugu yetu, uwe wewe kumi elfu, mara elfu nyingi; nao wazao wako wamiliki malango ya adui zao.”

Параўнаць

Даследуйце Mwanzo 24:60

5

Mwanzo 24:3-4

Neno

NEN

Ninataka uape kwa BWANA, Mungu wa mbingu na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke kutoka binti za Wakanaani, ambao ninaishi miongoni mwao. Bali nenda katika nchi yangu na jamaa zangu umpatie Isaka mwanangu mke.”

Параўнаць

Даследуйце Mwanzo 24:3-4

Папярэдні разьдзел
Наступны разьдзел
YouVersion

Заахвочваем і заклікаем вас кожны дзень шукаць блізкасці з Богам.

Служэнне

Пра дадатак

Кар'ера

Валянтэрства

Блёг

Прэса

Карысныя спасылкі

Дапамога

Ахвяраваць

Пераклады

Аўдыё Бібліі

Мовы Бібліі

Верш дня


Лічбавае служэнне

Life.Church
Беларуская

©2026 Life.Church / YouVersion

Палітыка прыватнасьціУмовы карыстаньня
Праграма раскрыцця ўразлівасцяў
FacebookTwitterInstagramYouTubePinterest