YouVersion Logo
بائبلمطالعاتی منصوبہVideos
اپلی کیشن حاصل کریں
زبان کا انتخاب کنندہ
تلاش

Mwanzo 26 سے مشہور بائبلی آیات

1

Mwanzo 26:3

Neno

NEN

Kaa katika nchi hii kwa kitambo; mimi nitakuwa pamoja na wewe na nitakubariki. Kwa maana nitakupa wewe na uzao wako nchi hizi zote, na nitatimiza kiapo nilichomwapia Abrahamu baba yako.

موازنہ

تلاش Mwanzo 26:3

2

Mwanzo 26:4-5

Neno

NEN

Nitafanya wazao wako kuwa wengi kama nyota za angani, nami nitawapa nchi hizi zote, na kupitia uzao wako mataifa yote yatabarikiwa, kwa sababu Abrahamu alinitii mimi, na akatenda yote niliyomwagiza, akahifadhi amri zangu, na hukumu zangu, pamoja na sheria zangu.”

موازنہ

تلاش Mwanzo 26:4-5

3

Mwanzo 26:22

Neno

NEN

Akaondoka huko, akachimba kisima kingine, wala hakuna yeyote aliyekigombania. Akakiita Rehobothi, akisema, “Sasa BWANA ametufanyia nafasi, nasi tutastawi katika nchi.”

موازنہ

تلاش Mwanzo 26:22

4

Mwanzo 26:2

Neno

NEN

BWANA akamtokea Isaka, akamwambia, “Usiende Misri, bali ukae katika nchi nitakayokuambia.

موازنہ

تلاش Mwanzo 26:2

5

Mwanzo 26:25

Neno

NEN

Isaka akajenga madhabahu huko, akaliitia jina la BWANA. Akapiga hema lake huko, nao watumishi wake wakachimba kisima.

موازنہ

تلاش Mwanzo 26:25

پچھلا باب
اگلا باب
YouVersion

آپ کو ہر روز خدا کے ساتھ قربت حاصل کرنے کی ترغیب دینا اور چیلنج کرنا۔.

خدمت

بارے میں

آسامیاں

رضاکار

Blog

Press

Useful Links

مدد

ہدیہ دیں

بائبل ورژن

Audio Bibles

بائبل کی زبانیں

آج کی آیت


کی ایک ڈیجیٹل خدمت

Life.Church
اردو

©2026 Life.Church / YouVersion

Privacy Policyشرائط
حساس کا انکشاف کرنے والا عمل
FacebookTwitterInstagramیوٹیوبپنٹیرسٹ