INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA KUMIనమూనా

INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA KUMI

7 యొక్క 3

  

UTABIRI WA KUFA KWA YESU NA KUFUFUKA

31 Yesu akawachukua wale wanafunzi wake kumi na wawili kando na kuwaambia,

“Tunapanda kwenda Yerusalemu na kila kitu kilichoandikwa na manabii kumhusu Mwana wa Adamu kitatimizwa.

32 Kwa kuwa atatiwa mikononi mwa watu wasiomjua Mungu, nao watamdhihaki, watamtukana na kumtemea mate, watampiga mijeledi na kumwua.Siku ya tatu atafufuka.”

34 Wanafunzi wake hawakuelewa mambo haya, kwa kuwa maana yake ilikuwa imefichika kwao, nao hawakujua Yesu alikuwa anazungumzia nini.

వాక్యము