INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA KUMIనమూనా

INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA KUMI

7 యొక్క 1

  

YESU AWABARIKI WATOTO WADOGO

15 Pia, watu walikuwa wakimletea Yesu watoto wachanga ili awaguse. Wanafunzi wake walipoona hivyo, wakawakemea.

16 Lakini Yesu akawaita wale watoto waje kwake, akasema, 

“Waacheni watoto wadogo waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana Ufalme wa Mungu ni wa watu walio kama hawa watoto.

17 Amin, nawaambia, ye yote ambaye hataupokea Ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, hatauingia kamwe.”

వాక్యము