Eneza neno kuhusu Tukio lako, kwa urahisi.

Eneza neno kuhusu Tukio lako, kwa urahisi.
https://bible.com/events/2342
callout

Mara tu Tukio lako limeratibiwa na liko tayari kugawizwa, Matukio itakupa kiungo unachoweza kutumia kwa mitandao yako yote ya kijamii, kwa mawasiliano yako ya barua pepe na hata kwenye skrini wakati wa ibada au tukio. Wakati mtu aliye na Apu ya Biblia akifungua kiungo chako, Tukio lako linafunguka moja kwa moja ndani ya apu. Kama hawana Apu ya Biblia, wataona Tukio lako kwenye Bible.com, na chaguo la kupata apu kama wanataka.

Rasilimali za bure za kukusaidia na Matukio

Tazama video kuhusu mabadiliko ya Matukio

Pakua mali hizi ili kutangaza Matukio yako kwenye Facebook, Twitter, na Instagram

Pakua slaidi hizi na vitini ili kutangaza Matukio yako ndani ya kanisa au shirika lako

Je, unatafuta rasilimali zaidi zisizolipishwa? Gundua zaidi ya mahubiri 30,000, nyenzo za watoto, nyenzo za ubunifu na zaidi kwenye open.church