bible icon

Leta nguvu ya Apu ya Biblia katika ibada za kanisa yako.

Kila kitu kanisa lako linahitaji kushirikiana na ujumbe wako, na kugawiza wengine. Bure, bila karatasi, na tayari imepakuliwa kwenye mamilioni ya vifaa.

Saidia jamii yako kunufaika zaidi na ujumbe wako.

Wahudhuria wanaweza kufuatilia, kujihusisha na maandiko, kuandika, na hata kuhifadhi nakala zao binafsi kwa ajili ya marejeleo ya baadaye.

Maudhui yako kwenye simu maizi zao.

Muhtasari wa ujumbe, matangazo, viungo vya kutoa vya mtandaoni… chochote unachohitaji kuwasiliana na kanisa lako, gawiza yote - 100% bure.

Waongoze watu wako zaidi katika Biblia.

Pendekeza Mipango ya Kusoma na Ibada ambayo itaweka jamii yako katika hali ya kujiunganisha na Maandiko kila wiki.

iphone-header
iphone-screen
iphone-footer

Chenye nguvu sio lazima kimaanishe kinachotatiza.

Weka kwa urahisi Matukio kutoka kwa Mac au tarakilishi yoyote iliyounganishwa na wavuti. Kokota na uachilie vipande vyote vya Tukio lako mahali, urekebishe upya, uhariri, na ufanye unavyopenda.

  • Chenye nguvu sio lazima kimaanishe kinachotatiza.

Vipande vyote vya ujenzi unavyohitaji…ili kutengeneza Matukio unayohitaji haswa.

Vipimo rahisi vitakavyo okoa muda na jitihada zako. Changanya vipengee ili kuunda Matukio mapya. Au tumia tena Matukio yako yaliyopo na uyarekebishe utakavyo. Hata nakili Matokeo yaliyopo na uyabadili ili yafae mikusanyiko mingine tofauti. Unapoendelea, Kihakiki kinakuwezesha kuona yaliyomo katika Matukio yako jinsi wahudhuria wako watayaona.

Unene wa usomiUnene wa usomi

Unaonyesha, pointi muhimu, maswali ya majadiliano… Gawiza yoyote yaliyomo katika makini ambayo yatasaidia wahudhuria wako kufuata ujumbe wako kila unapoendelea.

Kumbukumbu za bibliaKumbukumbu za biblia

Onyesha vifungu pale ambapo ujumbe wako unahusu, vilivyounganishwa na zaidi ya matoleo %{version_count}, katika zaidi ya lugha %{language_count} - hakuna kunakili au kubandika kunakohitajika.

Kitengo cha Mipango ya KusomaKitengo cha Mipango ya Kusoma

Unganisha kwa Mipango ya Biblia na maungamo ambayo yanahusiana na pointi za mafundisho yako, kusaidia watazamaji wako kuendelea kushiriki na Neno la Mungu kwa wiki nzima.

Kitengo cha Viungo vya WavutiKitengo cha Viungo vya Wavuti

Wezesha hadhira yako kubonyeza tu ili kutoa mtandaoni, kujisajili kujitolea au kurasa za kanisa ya nyumbani. Weka kiungo cha tovuti yoyote ya nje moja kwa moja ndani ya Tukio lako.

mpango Modulempango Module

Leta msisimko kwa Tukio lako na mfululizo wa sanaa, picha, picha za mistari ya Biblia na kadhalika. Wahudhuria wanaweza kugawiza kwa urahisi picha za Tukio katika mitandao yao ya kijamii, ili kusambaza ujumbe wako.

TangazoTangazo

Sambaza kwa urahisi habari zako za wakati na muhimu: Habari za kanisa, matukio ya kalenda, programu, madarasa, kujitolea na fursa za misheni na kadhalika.

Maeneo na mudaMaeneo na muda

Waache watu wajue mahali na wakati ambapo Tukio lako linafanyika. - hata kwa matukio yanayofanyika mara nyingi katika sehemu tofauti.

Matukio YanayofananaMatukio Yanayofanana

Okoa muda na juhudi. Kwa haraka unda Matukio mapya kwa kunakili matukio yaliyopo na kuyabadilisha na taarifa iliyosasishwa.

Kupunguza GharamaKupunguza Gharama

Punguza gharama ya uchapishaji na utumie karatasi chache… hata unapowafikia watu kupitia jukwa lililopakuliwa zaidi ya mara milioni 200.

piggy-bank-image
Kanisa la kawaida linatumia $ 10,000 kwa mwaka
kuchapisha taarifa. Matukio husaidia kukata au
hata kuondoa gharama hizo.

Ushuhuda

Mchungaji Bill White

"Tulifurahia kutekeleza YouVersion katika huduma yetu, hasa sehemu ya Matukio, ambapo tunaingiza maelezo ya mafundisho na maoni kila wiki. Watu wetu wanafurahia kuwa na maelezo kwa ncha za vidole zao, kuyagawiza, na kuyahifadhi. Tumeelekeza maelfu ya madola kwa mahitaji mengine ya huduma kwa kuchukua nafasi ya programu zilizochapishwa!"

Mchungaji Bill White
Kanisa la Safari ya Kristo

Mchungaji Herbert Cooper

"Matukio ya YouVersion ni rasilmali muhimu kwa kanisa letu. Uwezo wa watu wetu kufuata maelezo ya mahubiri na Maandiko wakati wa ibada yetu unaleta ushrikiano na ushawishi wenye nguvu."

Mchungaji Herbert Cooper
Kanisa la Watu

Cindy Beall

"Tunatumia Matukio kwa vikao vyetu vyote, kuwaruhusu waliohudhuria kuwa na maelezo na Maandiko kutoka kwa wasemaji katika vifaa vyao. Matukio yametusaidia kukata gharama ya kuchapisha maelfu ya kurasa! Kuweka Tukio ni rahisi sana, na daima huchapishwa kwa wakati halisi tunapohitaji."

Cindy Beall
Mkurugenzi wa Uongozi na Upendo wa Equip

bible icon

Matukio ni kitu kipya, bure kabisa na kinapatikana tu katika Apu ya Biblia.

Mapinduzi katika ushiriki wa Biblia yanafanyika katika maisha yetu. Imesakinishwa kwenye zaidi ya vifaa tofauti milioni 750 kufikia sasa (na tukihesabu), Bible App inasaidia watu katika kila nchi duniani kuungana zaidi na Neno la Mungu. Na sasa, kupitia Matukio, tunafurahi kukupa ufikiaji wa jukwaa hilo.

  • app store
  • google playstore

Hebu tupate kukuanzisha.

Pata Tukio lako la kwanza tayari ili kugawiza katika Apu ya Biblia katika chini ya dakika kumi. Unachohitaji ni MAC au tarakilishi na akaunti ya bure ya YouVersion.

Unda Tukio