bible icon

Leta nguvu ya Apu ya Biblia katika ibada za kanisa yako.

Kila kitu kanisa lako linahitaji kushirikiana na ujumbe wako, na kugawiza wengine. Bure, bila karatasi, na tayari imepakuliwa kwenye mamilioni ya vifaa.

move down

Saidia jamii yako kunufaika zaidi na ujumbe wako.

Wahudhuria wanaweza kufuatilia, kujihusisha na maandiko, kuandika, na hata kuhifadhi nakala zao binafsi kwa ajili ya marejeleo ya baadaye.

move down

Maudhui yako kwenye simu maizi zao.

Muhtasari wa ujumbe, matangazo, viungo vya kutoa vya mtandaoni… chochote unachohitaji kuwasiliana na kanisa lako, gawiza yote - 100% bure.

move down

Waongoze watu wako zaidi katika Biblia.

Pendekeza Mipango ya Kusoma na Ibada ambayo itaweka jamii yako katika hali ya kujiunganisha na Maandiko kila wiki.

move down

Chenye nguvu sio lazima kimaanishe kinachotatiza.

Weka kwa urahisi Matukio kutoka kwa Mac au tarakilishi yoyote iliyounganishwa na wavuti. Kokota na uachilie vipande vyote vya Tukio lako mahali, urekebishe upya, uhariri, na ufanye unavyopenda.

Vipande vyote vya ujenzi unavyohitaji…ili kutengeneza Matukio unayohitaji haswa.

Vipimo rahisi vitakavyo okoa muda na jitihada zako. Changanya vipengee ili kuunda Matukio mapya. Au tumia tena Matukio yako yaliyopo na uyarekebishe utakavyo. Hata nakili Matokeo yaliyopo na uyabadili ili yafae mikusanyiko mingine tofauti. Unapoendelea, Kihakiki kinakuwezesha kuona yaliyomo katika Matukio yako jinsi wahudhuria wako watayaona.

Text Module Unene wa usomi

Unaonyesha, pointi muhimu, maswali ya majadiliano… Gawiza yoyote yaliyomo katika makini ambayo yatasaidia wahudhuria wako kufuata ujumbe wako kila unapoendelea.

Bible References Kumbukumbu za biblia

Onyesha vifungu pale ambapo ujumbe wako unahusu, vilivyounganishwa na zaidi ya matoleo 2400, katika zaidi ya lugha 1600 - hakuna kunakili au kubandika kunakohitajika.

Reading Plans Module Kitengo cha Mipango ya Kusoma

Unganisha kwa Mipango ya Biblia na maungamo ambayo yanahusiana na pointi za mafundisho yako, kusaidia watazamaji wako kuendelea kushiriki na Neno la Mungu kwa wiki nzima.

External Links Kitengo cha Viungo vya Wavuti

Wezesha hadhira yako kubonyeza tu ili kutoa mtandaoni, kujisajili kujitolea au kurasa za kanisa ya nyumbani. Weka kiungo cha tovuti yoyote ya nje moja kwa moja ndani ya Tukio lako.

Image Module mpango Module

Leta msisimko kwa Tukio lako na mfululizo wa sanaa, picha, picha za mistari ya Biblia na kadhalika. Wahudhuria wanaweza kugawiza kwa urahisi picha za Tukio katika mitandao yao ya kijamii, ili kusambaza ujumbe wako.

Announcement Module Tangazo

Sambaza kwa urahisi habari zako za wakati na muhimu: Habari za kanisa, matukio ya kalenda, programu, madarasa, kujitolea na fursa za misheni na kadhalika.

Multiple Locations Maeneo na muda

Waache watu wajue mahali na wakati ambapo Tukio lako linafanyika. - hata kwa matukio yanayofanyika mara nyingi katika sehemu tofauti.

Duplicate Events Matukio Yanayofanana

Okoa muda na juhudi. Kwa haraka unda Matukio mapya kwa kunakili matukio yaliyopo na kuyabadilisha na taarifa iliyosasishwa.

Cost Savings Kupunguza Gharama

Punguza gharama ya uchapishaji na utumie karatasi chache… hata unapowafikia watu kupitia jukwa lililopakuliwa zaidi ya mara milioni 200.

piggy-bank-image
Kanisa la kawaida linatumia $ 10,000 kwa mwaka
kuchapisha taarifa. Matukio husaidia kukata au
hata kuondoa gharama hizo.

Ushuhuda

Bill White

"Tulifurahia kutekeleza YouVersion katika huduma yetu, hasa sehemu ya Matukio, ambapo tunaingiza maelezo ya mafundisho na maoni kila wiki. Watu wetu wanafurahia kuwa na maelezo kwa ncha za vidole zao, kuyagawiza, na kuyahifadhi. Tumeelekeza maelfu ya madola kwa mahitaji mengine ya huduma kwa kuchukua nafasi ya programu zilizochapishwa!"

Pastor Bill White
Christ Journey Church

Herbert

"Matukio ya YouVersion ni rasilmali muhimu kwa kanisa letu. Uwezo wa watu wetu kufuata maelezo ya mahubiri na Maandiko wakati wa ibada yetu unaleta ushrikiano na ushawishi wenye nguvu."

Pastor Herbert Cooper
People’s Church

Cindy Beall

"Tunatumia Matukio kwa vikao vyetu vyote, kuwaruhusu waliohudhuria kuwa na maelezo na Maandiko kutoka kwa wasemaji katika vifaa vyao. Matukio yametusaidia kukata gharama ya kuchapisha maelfu ya kurasa! Kuweka Tukio ni rahisi sana, na daima huchapishwa kwa wakati halisi tunapohitaji."

Cindy Beall
Leading and Loving It
Director of Equip

bible icon

Matukio ni kitu kipya, bure kabisa na kinapatikana tu katika Apu ya Biblia.

A revolution in Bible engagement is taking place within our lifetimes. Installed on more than 220 million unique devices so far (and counting), the Bible App is helping people in every country on earth connect more with God’s Word. And now, through Events, we’re happy to offer the reach of that platform to you.

Hebu tupate kukuanzisha.

Pata Tukio lako la kwanza tayari ili kugawiza katika Apu ya Biblia katika chini ya dakika kumi. Unachohitaji ni MAC au tarakilishi na akaunti ya bure ya YouVersion.

Unda Tukio