YouVersion
Pictograma căutare

Zaburi 58:1-2

Zaburi 58:1-2 NEN

Enyi watawala, je, kweli mwanena kwa haki? Je, mnahukumu kwa unyofu miongoni mwa watu? La, mioyoni mwenu mnatunga udhalimu, na mikono yenu hueneza jeuri duniani.