Kutoka 25:8-9
Kutoka 25:8-9 NEN
“Kisha uwaamuru wanitengenezee mahali patakatifu, nami nitakaa miongoni mwao. Tengeneza Maskani hii na vyombo vyake vyote sawasawa na kielelezo nitakachokuonesha.