1
Zaburi 99:9
Neno
NEN
Mtukuzeni BWANA Mungu wetu, mwabuduni kwenye mlima wake mtakatifu, kwa maana BWANA Mungu wetu ni mtakatifu.
Compară
Explorează Zaburi 99:9
2
Zaburi 99:1
BWANA anatawala, mataifa na yatetemeke; anakalia kiti cha enzi katikati ya makerubi, dunia na itikisike.
Explorează Zaburi 99:1