1
Zaburi 100:5
Neno
NEN
Kwa maana BWANA ni mwema na fadhili zake zadumu milele; uaminifu wake unadumu kwa vizazi vyote.
Compară
Explorează Zaburi 100:5
2
Zaburi 100:4
Ingieni malangoni mwake kwa shukrani na katika nyua zake kwa kusifu, mshukuruni yeye na kulisifu jina lake.
Explorează Zaburi 100:4
3
Zaburi 100:2
Mwabuduni BWANA kwa furaha; njooni mbele zake kwa nyimbo za shangwe.
Explorează Zaburi 100:2
4
Zaburi 100:3
Jueni kwamba BWANA ndiye Mungu. Yeye ndiye alituumba, sisi tu mali yake; sisi tu watu wake, kondoo wa malisho yake.
Explorează Zaburi 100:3