1
Zaburi 92:12-13
Neno
NEN
Wenye haki watastawi kama mtende, watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni, waliopandwa katika nyumba ya BWANA, watastawi katika nyua za Mungu wetu.
Compară
Explorează Zaburi 92:12-13
2
Zaburi 92:14-15
Wakati wa uzee watakuwa bado wanazaa matunda, watakuwa wabichi tena wamejaa nguvu, wakitangaza, “BWANA ni mkamilifu; yeye ni Mwamba wangu, na ndani yake hamna uovu.”
Explorează Zaburi 92:14-15