1
Zaburi 84:11
Neno
NEN
Kwa kuwa BWANA Mungu ni jua na ngao; BWANA hutoa wema na heshima; hakuna kitu chema anachowanyima wale ambao hawana hatia.
Compară
Explorează Zaburi 84:11
2
Zaburi 84:10
Siku moja katika nyua zako ni bora kuliko siku elfu mahali pengine; afadhali ningekuwa bawabu katika nyumba ya Mungu wangu kuliko kukaa katika mahema ya waovu.
Explorează Zaburi 84:10
3
Zaburi 84:5
Heri wale ambao nguvu zao ziko kwako, na njia ziendazo Sayuni zimo mioyoni mwao.
Explorează Zaburi 84:5
4
Zaburi 84:2
Nafsi yangu inatamani sana, naam, hata kuona shauku, kwa ajili ya nyua za BWANA; moyo wangu na mwili wangu vinamlilia Mungu Aliye Hai.
Explorează Zaburi 84:2