1
Zaburi 83:18
Neno
NEN
Hebu wajue kuwa wewe, ambaye jina lako ni BWANA, kwamba wewe peke yako ndiwe Uliye Juu Sana ya dunia yote.
Compară
Explorează Zaburi 83:18
2
Zaburi 83:1
Ee Mungu, usikae kimya, usinyamaze, Ee Mungu, usikae mbali.
Explorează Zaburi 83:1
3
Zaburi 83:16
Funika nyuso zao kwa aibu ili watu walitafute jina lako, Ee BWANA.
Explorează Zaburi 83:16