1
Zaburi 61:1-2
Neno
NEN
Ee Mungu, sikia kilio changu, usikilize maombi yangu. Kutoka miisho ya dunia ninakuita, ninakuita huku moyo wangu unadhoofika; uniongoze kwenye mwamba ulio juu kuniliko.
Compară
Explorează Zaburi 61:1-2
2
Zaburi 61:3
Kwa kuwa umekuwa kimbilio langu, ngome imara dhidi ya adui.
Explorează Zaburi 61:3
3
Zaburi 61:4
Natamani kukaa kwenye hema lako milele, na kukimbilia chini ya uvuli wa mabawa yako.
Explorează Zaburi 61:4