1
Zaburi 50:14-15
Neno
NEN
Toa sadaka za shukrani kwa Mungu, timiza nadhiri zako kwake Yeye Aliye Juu Sana, na uniite siku ya taabu; nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.”
Compară
Explorează Zaburi 50:14-15
2
Zaburi 50:10-11
Kwa maana kila mnyama wa msituni ni wangu, na pia makundi ya mifugo juu ya vilima elfu. Ninamjua kila ndege mlimani, nao viumbe wa kondeni ni wangu.
Explorează Zaburi 50:10-11