1
Zaburi 41:1
Neno
NEN
Heri mtu yule anayemjali mnyonge, BWANA atamwokoa wakati wa shida.
Compară
Explorează Zaburi 41:1
2
Zaburi 41:3
BWANA atamtegemeza akiwa mgonjwa kitandani, na atamwinua kutoka kitandani mwake.
Explorează Zaburi 41:3
3
Zaburi 41:12
Katika uadilifu wangu unanitegemeza na kuniweka kwenye uwepo wako milele.
Explorează Zaburi 41:12
4
Zaburi 41:4
Nilisema, “Ee BWANA nihurumie, niponye, maana nimekutenda dhambi wewe.”
Explorează Zaburi 41:4