1
Zaburi 40:1-2
Neno
NEN
Nilimngoja BWANA kwa saburi, naye akanijia na kusikia kilio changu. Akanipandisha kutoka shimo la uharibifu, kutoka matope na utelezi; akaiweka miguu yangu juu ya mwamba na kunipa mahali imara pa kusimama.
Compară
Explorează Zaburi 40:1-2
2
Zaburi 40:3
Akaweka wimbo mpya kinywani mwangu, wimbo wa sifa kwa Mungu wetu. Wengi wataona na kuogopa na kuweka tumaini lao kwa BWANA.
Explorează Zaburi 40:3
3
Zaburi 40:4
Heri mtu yule amfanyaye BWANA kuwa tumaini lake, asiyewategemea wenye kiburi, wale wenye kugeukia miungu ya uongo.
Explorează Zaburi 40:4
4
Zaburi 40:8
Ee Mungu wangu, natamani kuyafanya mapenzi yako; sheria yako iko ndani ya moyo wangu.”
Explorează Zaburi 40:8
5
Zaburi 40:11
Ee BWANA, usinizuilie huruma zako, upendo wako na kweli yako daima vinilinde.
Explorează Zaburi 40:11