1
Zaburi 131:2
Neno
NEN
Lakini nimetuliza na kunyamazisha nafsi yangu; kama mtoto aliyeachishwa kunyonya na mama yake, kama mtoto aliyeachishwa kunyonya ndivyo ilivyo nafsi iliyo ndani yangu.
Compară
Explorează Zaburi 131:2
2
Zaburi 131:1
Moyo wangu hauna kiburi, Ee BWANA, macho yangu hayajivuni; sijishughulishi na mambo makuu kunizidi wala mambo ya ajabu mno kwangu.
Explorează Zaburi 131:1