1
Zaburi 103:2
Neno
NEN
Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA, wala usisahau wema wake wote
Compară
Explorează Zaburi 103:2
2
Zaburi 103:3-5
akusamehe dhambi zako zote, akuponya magonjwa yako yote, aukomboa uhai wako na kaburi, akuvika taji la upendo na huruma, atosheleza mahitaji yako kwa vitu vyema, ili ujana wako uhuishwe kama wa tai.
Explorează Zaburi 103:3-5
3
Zaburi 103:1
Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA. Vyote vilivyo ndani yangu vilihimidi jina lake takatifu.
Explorează Zaburi 103:1
4
Zaburi 103:13
Kama baba alivyo na huruma kwa watoto wake, ndivyo BWANA anavyowahurumia wale wanaomcha
Explorează Zaburi 103:13
5
Zaburi 103:12
kama mashariki ilivyo mbali na magharibi, ndivyo Mungu alivyoziweka dhambi zetu mbali nasi.
Explorează Zaburi 103:12
6
Zaburi 103:8
BWANA ni mwingi wa huruma na mwenye neema; si mwepesi wa hasira, bali amejaa upendo.
Explorează Zaburi 103:8
7
Zaburi 103:10-11
yeye hatutendei kulingana na dhambi zetu wala hatupatilizi kwa kadiri ya maovu yetu. Kama vile mbingu zilivyo juu ya dunia, ndivyo wema wake ulivyo mwingi kwa wanaomcha
Explorează Zaburi 103:10-11
8
Zaburi 103:19
BWANA ameweka imara kiti chake cha enzi mbinguni, na ufalme wake unatawala vitu vyote.
Explorează Zaburi 103:19