1
Zaburi 102:2
Neno
NEN
Usinifiche uso wako ninapokuwa katika shida. Unitegee sikio lako; ninapoita, unijibu kwa upesi.
Compară
Explorează Zaburi 102:2
2
Zaburi 102:1
Ee BWANA, usikie maombi yangu; kilio changu cha kuomba msaada kikufikie.
Explorează Zaburi 102:1
3
Zaburi 102:12
Lakini wewe, Ee BWANA, umeketi kwenye kiti chako cha enzi milele; sifa zako za ukuu zaendelea vizazi vyote.
Explorează Zaburi 102:12
4
Zaburi 102:17
Ataitikia maombi ya mtu mkiwa, wala hatadharau hoja yao.
Explorează Zaburi 102:17