1
Kutoka 40:38
Neno
NEN
Kwa hiyo wingu la BWANA lilikuwa juu ya maskani ya Mungu mchana, na moto ulikuwa katika hilo wingu wakati wa usiku, machoni pa nyumba yote ya Israeli siku zote za safari zao.
Compară
Explorează Kutoka 40:38
2
Kutoka 40:34-35
Ndipo wingu likafunika Hema la Kukutania, na utukufu wa BWANA ukaijaza maskani ya Mungu. Musa hakuweza kuingia ndani ya Hema la Kukutania kwa sababu wingu lilikuwa limetua juu ya Hema, nao utukufu wa BWANA ukaijaza maskani ya Mungu.
Explorează Kutoka 40:34-35