Kutoka 40:34-35
Kutoka 40:34-35 NEN
Ndipo wingu likafunika Hema la Kukutania, na utukufu wa BWANA ukaijaza maskani ya Mungu. Musa hakuweza kuingia ndani ya Hema la Kukutania kwa sababu wingu lilikuwa limetua juu ya Hema, nao utukufu wa BWANA ukaijaza maskani ya Mungu.

