1
Kutoka 35:30-31
Neno
NEN
Kisha Musa akawaambia Waisraeli, “Tazameni, BWANA amemchagua Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, naye amemjaza Roho wa Mungu, pamoja na ustadi, na uwezo na ujuzi katika aina zote za ufundi
Compară
Explorează Kutoka 35:30-31
2
Kutoka 35:35
Amewajaza ustadi wa kufanya kazi za aina zote zinazofanywa na mafundi, na wenye kubuni michoro, pia na watarizi kwa rangi za buluu, zambarau, nyekundu na kitani safi, na wafumaji: wote wakiwa mafundi na wabunifu hodari.
Explorează Kutoka 35:35