BibleProject | Yesu na Uanadamu Mpya

BibleProject | Yesu na Uanadamu Mpya

7 dager

Barua ya Paulo kwa Warumi ni moja kati ya barua za muhimu sana kuandikwa. Katika mpango huu wa siku saba, utajifunza jinsi Yesu alivyounda agano jipya kupitia kifo na ufufuo wake na kitendo chake cha kumtuma Roho.

Tungependa kuwashukuru BibleProject kwa kutoa mpango huu. Kwa taarifa zaidi, tafadhali tembelea: www.bibleproject.com

Om utgiver