YouVersion လိုဂို
ရွာရန္ အိုင္ကြန္

INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA NANEနမူနာ

INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA NANE

7 ၏ ေန႔ 6

  

MFANO WA MCHUNGAJI MWEMA

Mtu wa kuajiriwa ambaye kondoo si mali yake, amwonapo mbwa mwitu anakuja, hukimbia na kuwaacha kondoo na mbwa mwitu hulishambulia kundi na kulitawanya.

Yeye hukimbia kwa sababu ameajiriwa wala hawajali kondoo.

“Mimi ndimi mchungaji mwema. Ninawajua kondoo wangu nao kondoo wangu wananijua.

Kama vile Baba anavyonijua mimi, nami ninavyomjua Baba, nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo.

"Ninao kondoo wengine ambao si wa zizi hili, inanipasa kuwaleta, nao wataisikia sauti yangu, hivyo patakuwa na kundi moja na mchungaji mmoja.Baba yangu ananipenda kwa kuwa ninautoa uhai wangu ili niupate tena."