1
Mattayo MT. 27:46
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Na kama saa tissa, Yesu akapaaza sauti yake kwa nguvu akinena, Eli, Eli, lama sabakhthani? maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Bandingkan
Selidiki Mattayo MT. 27:46
2
Mattayo MT. 27:51-52
Na tazama pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hatta chini: inchi ikatetema; miamba ikapasuka; makaburi yakafunuka; ikafufuka miili mingi ya watakatifu waliolala
Selidiki Mattayo MT. 27:51-52
3
Mattayo MT. 27:50
Nae Yesu akiisha kupaaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.
Selidiki Mattayo MT. 27:50
4
Mattayo MT. 27:54
Bassi yule akida, nao walio pamoja nae wakimwangalia Yesu, walipoliona tetemeko la inchi na mambo yaliyofanyika, wakaogopa sana, wakinena, Hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu.
Selidiki Mattayo MT. 27:54
5
Mattayo MT. 27:45
Tangu saa sita palikuwa giza juu ya inchi yote hatta saa tissa.
Selidiki Mattayo MT. 27:45
6
Mattayo MT. 27:22-23
Pilato akawaambia, Bassi, nimtendeni Yesu aitwae Kristo? Wakanena wote, Asulibiwe. Liwali akasema, Kwani? ubaya gani alioutenda? Wakazidi sana kupiga kelele, wakinena, Asulibiwe.
Selidiki Mattayo MT. 27:22-23