1
Mattayo MT. 25:40
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Na mfalme atajibu, akiwaambia, Amin, nawaambieni. Kadiri mlivyomtendea mmojawapo katika hawo ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.
Bandingkan
Selidiki Mattayo MT. 25:40
2
Mattayo MT. 25:21
Bwana wake akamwambia, Vema, mtumishi mwema, na amini: ulikuwa amini kwa machache, nitakuweka juu ya mengi: ingia katika furaha ya bwana wako.
Selidiki Mattayo MT. 25:21
3
Mattayo MT. 25:29
Kwa maana killa aliye na mali atapewa, na kuongezewa: nae asiye nayo, hatta ile aliyo nayo atanyangʼanywa.
Selidiki Mattayo MT. 25:29
4
Mattayo MT. 25:13
Bassi kesheni, maana hamwijui siku wala saa ajapo Mwana wa Adamu.
Selidiki Mattayo MT. 25:13
5
Mattayo MT. 25:35
kwa maana nalikuwa na njaa, mkanipa chakula; nalikuwa na kiu, mkaninywesha; nalikuwa mgeni, mkanikaribisha
Selidiki Mattayo MT. 25:35
6
Mattayo MT. 25:23
Bwana wake akamwambia, Vema, mtumishi mwema na amini: ulikuwa amini kwa machache, nitakuweka juu ya mengi: ingia katika furaha ya bwana wako.
Selidiki Mattayo MT. 25:23
7
Mattayo MT. 25:36
nalikuwa uchi, mkanivika; nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama; nalikuwa kifungoni, mkanijia.
Selidiki Mattayo MT. 25:36