Logo YouVersion
AlkitabPelanVideo
Dapatkan apl
Pemilih Bahasa
Ikon Carian

Ayat Alkitab yang Popular daripada Matendo 27

1

Matendo 27:25

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

SCLDC10

Hivyo, waheshimiwa, jipeni moyo! Maana ninamwamini Mungu kwamba itakuwa sawa kama nilivyoambiwa.

Bandingkan

Selidiki Matendo 27:25

2

Matendo 27:23-24

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

SCLDC10

Kwa maana jana usiku malaika wa yule Mungu ambaye mimi ni wake na ambaye mimi ninamwabudu alinitokea, akaniambia: ‘Paulo, usiogope! Ni lazima utasimama mbele ya Kaisari; naye Mungu, kwa wema wake, amekufadhili kwa kuwaokoa wote wanaosafiri nawe wasiangamie.’

Bandingkan

Selidiki Matendo 27:23-24

3

Matendo 27:22

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

SCLDC10

Lakini sasa ninawaombeni muwe na moyo; hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza maisha yake; meli tu ndiyo itakayopotea.

Bandingkan

Selidiki Matendo 27:22

Pelan Bacaan dan Renungan percuma yang berkaitan dengan Matendo 27

Bab Sebelumnya
Bab Seterusnya
YouVersion

Mendorong dan mencabar anda untuk mencari hubungan rapat dengan Allah setiap hari.

Pelayanan

Perihal

Kerjaya

Jadi Sukarelawan

Blog

Akhbar

Pautan Berguna

Bantuan

Menderma

Versi Alkitab

Alkitab Audio

Bahasa Alkitab

Ayat Hari Ini


Pelayanan Digital

Life.Church
Bahasa Melayu

©2026 Life.Church / YouVersion

Polisi PrivasiTerma
Program Pendedahan Kerentanan
FacebookTwitterInstagramYouTubePinterest