Logo YouVersion
Icona Cerca

Kutoka 17:11-12

Kutoka 17:11-12 BHN

Ikawa wakati wote Mose alipoinua mkono wake juu, Waisraeli walishinda, na alipouteremsha, Waamaleki walishinda. Lakini baada ya muda, mikono ya Mose ilichoka. Kwa hiyo Aroni na Huri walichukua jiwe wakaliweka karibu na Mose naye akaketi. Kisha wakaishika na kuiinua mikono yake, mmoja akauinua mkono wa kulia na mwingine mkono wa kushoto. Hivyo mikono ya Mose ikabaki imara ikiwa imeinuliwa juu hadi jua lilipotua.

Video per Kutoka 17:11-12

Piani di Lettura e Devozionali gratuiti relativi a Kutoka 17:11-12