Yohana 20:27-28
Yohana 20:27-28 SRB37
Kisha akamwambia Toma: Lete kidole chako hapa, uyatazame maganja yangu! Lete nao mkono wako, uutie ubavuni mwangu! Usiwe mtu asiyenitegemea, ila anitegemeaye! Ndipo, Toma alipomjibu, akamwambia: Bwana wangu na Mungu wangu!

